Mrembo Lisa Jensen akipunga mkono
kwa wapenzi wa masuala ya urembo waliohudhuria katika shindano dogo la
Redds Miss World Tanzania lililofanyika usiku wa kuamkia jumapili ya leo jijini Dar
es salaam na kushirikisha warembo 10 waliowahi kushiriki mashindano hayo
miaka mbalimbali iliyopita, Lisa Jensen ataIwakilisha Tanzania katika shindano
la Miss World litakalofanyika nchini Mongolia mwishoni mwa mwaka huu
0 comments for "Lisa Jensen ashinda Redd's Miss World Tanzania"