Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

JK AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BOB MAKANI 0 Comments

By Unknown
Monday, June 11, 2012 | Posted in

Rais Jakaya  Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe wakisaidiana na ndugu na jamaa wa Marehemu Bob Makani kushusha mwili wake tayari kwa shughuli ya heshima za mwisho leo mchana katika viwanja vy Karimjee jijini Dar es salaam. Mwili wa marehemu atasafirishwa kesho asubuhi kwenda Shinyanga kwa mazishi. 

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lililo na mwili wa Muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),marehemu Bob Makani ambaye pia aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo ya Naibu Gavana wa Benki kuu,katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe kwenye.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa katika viwanja vya Karimjee kufuatia msiba wa muasisi wa Chama hicho Bob Makani





 

Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply

0 comments for "JK AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BOB MAKANI"