Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

SHINDANO LA MAKALIO LAFANYIKA DAR 0 Comments

By Unknown
Friday, June 15, 2012 | Posted in ,


KATIKA hali ya kushangaza, Kimwana Manywele 2006, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’(pichani), hivi karibuni alinaswa katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar akifanya shindano la aibu la kushindanisha makalio yake pamoja na mwanamke mwingine ambaye jina lake halikufahamika.

Shindano hilo lisilokuwa ramsi lilifanyika wakati Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’ ilipokuwa ikitoa burudani katika viwanja hivyo kama kawaida yake siku za wikiendi.
Wakati Twanga wakitoa burudani, Aunty Lulu na mwanamke mwenzake huyo walikuwa pembeni ya Viwanja vya Leaders wakifanya shindano hilo lisilokuwa na maana yoyote.
“Tuache tujishebedue kwa raha zetu, kama makalio tumejaaliwa, waliokosa viroho vinawabana, wavimbe hadi wapasuke shauri yao,” alisema Aunty Lulu huku akikutanisha makalio yake na mwenzake na kuhoji nani aliyejaaliwa zaidi.


Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply

0 comments for "SHINDANO LA MAKALIO LAFANYIKA DAR"