Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

MATILDA MARTIN AIBUKA MSHINDI REDD'S MISS DAR CITY CENTER 2012 0 Comments

By Unknown
Friday, June 15, 2012 | Posted in ,


Matilda Martin Redd's Miss Dar Center 2012
Hatimaye kinyang’anyilo cha kumsaka Redd's Miss Dar City Center 2012, kimemalizika jana usiku katika ukumbi wa Golden Tulip,jijini Dar es salaam huku Matilda Martin akiibuka mshindi.

Nafasi ya pili imeshikwa na Magdalena Munisi wakati ile ya tatu ikikamatwa na Witness Michael.Washiriki wote walotinga tano bora wanenda moja kwa moja kujiunga na wenzao kwenye mashindano ya kanda ya Ilala’jijini Dar es salaam.

Shindano hilo liliambatana na burudani kutoka kwa mwanamziki mashuuri wa mziki wa bongo fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platinum.Pia Wema Isaac Sepetu alikuwa ni miongoni mwa majaji katika shindano hilo





 Redd's Miss Dar City Center 2012,Matilda Martin (katikati) akiwa na mshindi wa pili wa taji hilo,Magdalena Munisi (kushoto) na Mshindi wa tatu,Witness Michael

Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply

0 comments for "MATILDA MARTIN AIBUKA MSHINDI REDD'S MISS DAR CITY CENTER 2012"