Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

MEMBE: "KAMWE SIWEZI KUIFAGILIA CHADEMA" 0 Comments

By Unknown
Monday, June 25, 2012 | Posted in ,

Ni kauli aliyoitoa Mh. Bernad Membe mapema leo wakati akiwa katika mahojiano na Gerald Hando wa Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo hicho kila siku asubihi.Alipoulizwa kuhusiana na taarifa zilizozagaa mitaani kwamba  amekifagilia CHADEMA, Mh. Membe alikiri kuwa ni kweli kuna wanachama wa CHADEMA waliombelea nyumbani kwake wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.

Katika mazungumzo yao na wajumbe wa CHADEMA Mh. Membe ameema hakukifagilia CHADEMA wala hatokuja kukifagilia bali alichowasihi ni kuto kujisahau na kuona kwamba wameshinda.Alifananisha harakati  za CHADEMA na mbio za Marathoni na kusema kwamba wakati wowote  wanaweza kupitwa.

Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply

0 comments for "MEMBE: "KAMWE SIWEZI KUIFAGILIA CHADEMA""