Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

Je ziara ya JK Uingereza ni harakati za David Cameroon kushawishi ushoga nchi maskini? 0 Comments

By Unknown
Friday, July 13, 2012 | Posted in ,


Itakumbukwa tu kuwa mapema wiki hii Mh. Raisi  JK alifanya ziara nchini Uingereza kuudhulia na kuhutubia mkutano wa kimataifa wa viongozi kujadili Uzazi wa mpango kwa nchi maskini zaidi duniani,Mkutano huo ulifanyika nchini Uingereza katika ukumbi wa Queen Elizabeth II jijini London July 11,2012.

Mkutano huu uliandaliwa kwa ushirikiano wa  serikali ya Uingereza na Mfuko wa  Bill na Melinda Gate pamoja na wadau wengine.

Hata hivyo ,tutakumbuka kwamba mwishoni mwa  mwaka 2011 waziri mkuu wa Uingereza wakati akihutubia mkutano wa jumuiya ya madola Perth,Australia alitoa masharti kwa nchi  yoyote inayotaka msaada kwamba  ni lazima ziruhusu ndoa ya jinsia moja yaani “ushoga”.

SWALI:
Kwa kuwa mkutano huu unalenga kuzisaidia nchi masikini zaidi duniani katika harakati za uzazi wa mpango,na nchi nyingi masikini  zipo katika bara la Afrika.Je hii siyo adhma ya serikali ya Uingereza kupenyeza siasa zake za ndoa ya jinsia moja katika nchi hizi maskini?






Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply

0 comments for "Je ziara ya JK Uingereza ni harakati za David Cameroon kushawishi ushoga nchi maskini?"