PICHA:ASKARI WA UGANDA WAKIWAKAGUA WANAWAKE

Kuanzia jana picha za askari wa Uganda zimesambaa zikionesha jinsi wanavyowakagua wanawake katika lango kuu la kuingilia katika nchi hiyo lakini kinachoshangaza ni staili wanayoitumia kuwakagua wanawake
e

Askari akiendelea na ukaguzi wa mabomu kwa wanawake wanaoingia nchini humo staili inayotumiwa sasa

Askari anaonekana kulifurahia zoezi hilo la ukaguzi

Kwa upande wako unaona zoezi hili ni sahihi? Nipe maoni yako....


0 comments for " "