Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali pamoja na
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
wakisaidiana na ndugu na jamaa wa Marehemu Bob Makani kushusha mwili wake
tayari kwa shughuli ya heshima za mwisho leo mchana katika viwanja vy Karimjee
jijini Dar es salaam. Mwili wa marehemu atasafirishwa kesho asubuhi kwenda
Shinyanga kwa mazishi.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwenye
jeneza lililo na mwili wa Muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA),marehemu Bob Makani ambaye pia aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali
serikalini ikiwemo ya Naibu Gavana wa Benki kuu,katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.
Jakaya Kikwete akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA,Mh. Freeman Mbowe
kwenye.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt.
Wilbroad Slaa katika viwanja vya Karimjee kufuatia msiba wa muasisi wa Chama
hicho Bob Makani
0 comments for "JK AONGOZA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA MAREHEMU BOB MAKANI"