Shindano hilo lisilokuwa ramsi lilifanyika wakati Bendi ya African Stars International ‘Twanga Pepeta’ ilipokuwa ikitoa burudani katika viwanja hivyo kama kawaida yake siku za wikiendi.
Wakati Twanga wakitoa burudani, Aunty Lulu na mwanamke mwenzake huyo walikuwa pembeni ya Viwanja vya Leaders wakifanya shindano hilo lisilokuwa na maana yoyote.
“Tuache tujishebedue kwa raha zetu, kama makalio tumejaaliwa, waliokosa viroho vinawabana, wavimbe hadi wapasuke shauri yao,” alisema Aunty Lulu huku akikutanisha makalio yake na mwenzake na kuhoji nani aliyejaaliwa zaidi.
0 comments for "SHINDANO LA MAKALIO LAFANYIKA DAR"