Wadau wengi walikuwa wakisubiria waone kama Wema Sepetu angethubutu kuinua makalio yake na kwenda kumtunza Diamond stejini kitu ambacho Wema hakuthubutu kufanya kuhofia fedhea ambayo angeweza kuipata kwa mara nyingine.
Itakumbukwa kuwa mwishoni mwa mwezi machi mwaka katika show ya “Diamond are forever” iliyofanyika Mlimani City Wema sepetu alipata fedhea ya mwaka pale ambapo Diamond alizikacha pesa za Wema alikuwa akimtunza stejini.
Wakati Diamond akitumbuiza usiku wa jana Wema alioneka ni mwenye shauku huku akitabasabu.Wema alikuwa ni miongoni mwa majaji katika kinyang'anyilo hicho ambapo Matilda Martin aliibuka kidedea.
Diamond akiwapagawisha mashabiki wake |
0 comments for "WEMA SEPETU AOGOPA KUMTUNZA DIAMOND"