Latest News!
Advertisement
Related Posts
MEMBE: "KAMWE SIWEZI KUIFAGILIA CHADEMA" 0 Comments
By Unknown
Ni kauli aliyoitoa Mh. Bernad
Membe mapema leo wakati akiwa katika mahojiano na Gerald Hando wa Clouds FM
katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo hicho kila
siku asubihi.Alipoulizwa kuhusiana na taarifa zilizozagaa mitaani kwamba amekifagilia
CHADEMA, Mh. Membe alikiri kuwa ni kweli kuna wanachama wa CHADEMA waliombelea
nyumbani kwake wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema.
Katika mazungumzo yao na wajumbe
wa CHADEMA Mh. Membe ameema hakukifagilia CHADEMA wala hatokuja kukifagilia bali alichowasihi ni kuto kujisahau
na kuona kwamba wameshinda.Alifananisha harakati za CHADEMA na mbio za
Marathoni na kusema kwamba wakati wowote wanaweza kupitwa.
Leave a reply
0 comments for "MEMBE: "KAMWE SIWEZI KUIFAGILIA CHADEMA""