Nay wa Mitego: Wasichana wanaopenda kukwarua waimbaji ‘Chipukizi’ ni Wolper, Nisha na Shilole.
Rapa wa shika adabu yako Nay wa Mitego, ametaja list yake ya wasanii
wa filamu wanaopenda ‘kuhondomola’ na wasanii wa Bongo flava
wanaochipukia huku wakiwa na hit radioni.
Kupitia clip ya video aliyoiweka Snapchat, staa huyo amemtaja Jackline Wolper, Nisha pamoja na Shilole.
“Kule bongo movie wasichana ambao huwa wanakwaruaga vichipukizi…kuna
Wolper,kuna Nisher na Shilole….yaani wakisikia tu underground anafanya
vizuri washamdaka”anasema Ney.
0 comments for " "