Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

0 Comments

By Mpwapwa kona
Saturday, March 12, 2016 | Posted in ,

Dc Makonda atoa siku 14 ujenzi wa barabara Kinondoni kukamilika, wahusika wote kuwajibishwa

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda alifanya ziara ya kutembelea katika maeneo mbalimbali ya Wilaya yake na kushuhudia kero za uharibifu wa miundombinu ikiwepo barabara na kuamua kutoa agizo kwa Manispaa ya Kinondoni kuhakikisha inafanya ukarabati huo ndani ya siku 14 kabla ya kuwawajibisha.
Makonda amesema ‘Nimejionea ubovu wa barabara za Kinondoni, lakini hii si’mara ya kwanza, mara ya kwanza niliona ubovu huu na nikaunda kamati ya wataalam wakachunguza na kubaini barabara nyingi zilijengwa chini ya kiwango
Hatua hii ilipelekea kusimamishwa kwa baadhi ya watumishi, lakini cha ajabu barabara zinazidi kuwa mbovu na wananchi wanalipa kodi, nimejionea pale Hospitali ya Mwananyamala mama mmoja akijifungulia kwenye bajaji, mbaya zaidi juzi kuna ajali imetokea na mtu akafa
Nini maamuzi yake baada ya haya yote? ‘Sasa nimeiagiza Manispaa, nimewapa wiki mbili kuhakikisha mashimo yote yawe yamezibwa, na wakishindwa nitawasaidia kuwawajibisha na kuchukua hatua stahikiPaul Makonda
Ilikupita hii Video ya Dc Makonda akitangaza Walimu Dar kupanda daladala bure…?


Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply