Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

0 Comments

By Mpwapwa kona
Saturday, March 12, 2016 | Posted in ,

NEY AELEZA SABABU ZA KUTOKUMDISS DIAMOND NA ALIKIBA KATIKA NGOMA YA SHIKA ADABU YAKO


Baada ya baadhi ya mashabiki kumzukia Nay wa Mitego kwamba kwanini hakuwachana Diamond na Ali Kiba kwenye wimbo wa shika adabu yako kama alivyofanya kwa wasanii wengine Nay amesema hakuona umuhimu wa kufanya hivyo.
Nay pia amesema kuwa masuala ya Diamond na Ali Kiba yameshazoeleka kwa hiyo hakutana kufanya kitu ambacho watu wanakijua.
Sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani mwake,kila mtu alikuwa anategemea ningemdiss Ali kiba au Diamond..sikutaka tu,japo kuna vitu vya kuzungumza juu yao lakini havikuwa muhimu sana kama nilivyovitaja kwenye wimbo” alisema Nay.
Source: Clouds

Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply