Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

0 Comments

By Mpwapwa kona
Saturday, March 12, 2016 | Posted in ,

Diamond Platnumz ampima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na ‘Zari’ ilikujua kama yeye ni baba wa mtoto huyo.



Mitandao ya Udaku Afrika inaripoti kuwa muimbaji kutoka Tanzania Diamond Platnumz amempima DNA mtoto wake ‘Tiffah’ na mpenzi wake ‘Zari’ ilikujua kaka yeye ni baba wa mtoto huyo.
Chanzo cha taarifa hizi kinasema kipimo hicho kimefanyika Afrika Kusini siku chache kabla staa huyu hajaenda Las Vegas.
Gazeti la Amani kutoka Tanzania pia limeripoti kufanya mahojiano na Diamond Platnumz.
Diamond alisema “Kutokana na manenomaneno ya watu, ilifika mahali alichoka, akawa njia panda. Hivyo ili kuondoa figisufigisu, akamwambia Zari waende wakampime DNA mtoto na yeye. Ni kabla hajaenda Marekani.”
Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa Tiffah Dangote ni mtoto wa Diamond na sio mtoto wa billionaire Ivan Ssemwanga ambaye ni Ex wa Zari aliyekaa naye kwa miaka 10.
Ivan ana watoto watatu na Zari ambao ni Pinto, Quincy na Didy.

Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply