Latest Stories

TOP 5 Most Popular Post

Recently Comments

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

FFFFFFFFFFFFF

FFFFFFFFFFFFF
XXXXXXXXXXX

0 Comments

By Mpwapwa kona
Thursday, April 21, 2016 | Posted in

MWASITI: SHILOLE ASIJAJIWE KUTOKANA NA MAISHA YAKE YA MTANAONI

Diva wa muziki wa Kizazi kipya Tanzania, Mwasiti ‘Mwasiti’ Almasi, amemtetea msanii mwenzake Shilole kuwa anatabia ya kiutu na upendo kuliko watu wanavyomfikiria.
Akizungumza kupitia Times Fm jana, Mwasiti amedai kuwa licha ya Shilole kuchukuliwa na kudhaniwa tofauti kupitia mitandao ya kijamii, lakini Shishi ni miongoni mwa mabinti wenye tabia njema na mfano wa kuigwa.
“Ujue watu mnamuona Shilole mitandaoni tu, lakini Trust me ana side nyingine ya Zuena ni mtashangaa Side yake ya Zuena, anaroho nzuri na ni mama bora.
“Unafahamu kwamba Shilole ni Mama wa watoto wawili na anawasomesha vizuri?” Alisema Mwasiti.
Katika hatua nyingine msanii huyo alieleza na kufafanua kuwa kundi lao linaloitwa Sistaz, lipo maalum kwa ajili ya kusaidia wasichana wadogo kujitambua pamoja na kuacha kupitia makundi mabaya.
Kundi hilo iliyojitoa kuihudumia jamii husasan Wanawake, linaundwa na Wasanii kama Mwasiti Almasi, Mwanahawa ‘Queen Darlin’ Abdul, Kajala Masanja na Zuena ‘Shilole’ Abdul.


Follow any responses to the RSS 2.0. Leave a response

Leave a reply